Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya.
Hatua za kufuata kutengeneza dawa ya kitunguu saumu
Saga kitunguu saumu kimoja,
Changanyakwenye lita moja ya maji
Nyunyizia kwenye mazao.
Namna nyingine ya kutengeneza dawa
Unaweza pia kusaga vitunguu saumu 3,
kishachanganya na mafuta taa,
acha ikae kwa siku tatu,
kisha ongeza lita 10 za maji ya sabuni na unyunyizie.
Hii itaondoa aina nyingi sana ya wadudu wanaosababisha magonjwa.
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya. Hatua za kufuata kutengeneza dawa ya kitunguu saumu Saga kitunguu saumu kimoja, Changanyakwenye lita moja ya maji Nyunyizia kwenye mazao. Namna nyingine ya kutengeneza dawa Unaweza pia kusaga vitunguu saumu 3, kishachanganya na mafuta taa, acha ikae kwa siku tatu, kisha ongeza lita 10 za maji ya sabuni na unyunyizie. Hii itaondoa aina nyingi sana ya wadudu wanaosababisha magonjwa.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
01.π Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.02.π Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuβ¦
Vyakula vinavyofaa kuliwa wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya kingine, Mbali na Waislaβ¦
Ni yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si mesejikunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadimawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate