Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Wabongo ni noma! Angalia huyu mbongo anachokifanya

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!… MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!.. MBONGO: "mi ntajenga kwa milioni 270" MSIMAMIZI WA MAGOGONI: "we una wazimu nn!.. yaani unathubutu kusema hivyo na unaona wenzako wametaja kiwango kidogo?!." MBONGO: "milioni 100 zako, 100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest Jul 17, 2017
πŸ€£πŸ˜†πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ John Malisa Guest Jul 15, 2017
πŸ˜† Hii imenigonga kweli!
πŸ‘₯ Jafari Guest Jul 1, 2017
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
πŸ‘₯ Josephine Guest Jul 1, 2017
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
πŸ‘₯ David Chacha Guest Jun 1, 2017
😁 Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
πŸ‘₯ George Tenga Guest May 10, 2017
Umesema kweli! πŸ‘ŒπŸ˜‚
πŸ‘₯ Kiza Guest Apr 30, 2017
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Michael Onyango Guest Apr 15, 2017
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! 😁
πŸ‘₯ Joseph Kitine Guest Mar 23, 2017
Hii imenifurahisha kweli! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Mar 12, 2017
πŸ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Mar 10, 2017
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Rose Amukowa Guest Feb 12, 2017
😊🀣πŸ”₯
πŸ‘₯ Mary Njeri Guest Feb 4, 2017
Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Janet Mwikali Guest Jan 9, 2017
Hii ni ya kufurahisha! πŸ˜„πŸ˜…
πŸ‘₯ Alice Jebet Guest Jan 5, 2017
Hii imenifurahisha sana! πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Bahati Guest Nov 30, 2016
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hicho!
πŸ‘₯ Henry Mollel Guest Nov 30, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Diana Mallya Guest Nov 17, 2016
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Monica Lissu Guest Nov 13, 2016
πŸ˜‚ Hii ni kali sana!
πŸ‘₯ Fadhila Guest Nov 10, 2016
πŸ˜‚ Nalia kwa kweli hapa!
πŸ‘₯ Tabitha Okumu Guest Nov 3, 2016
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Peter Mwambui Guest Oct 5, 2016
Mna talent ya jokes! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Francis Mtangi Guest Aug 15, 2016
πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Majid Guest Jul 31, 2016
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! πŸŽ‰
πŸ‘₯ Kahina Guest Jul 26, 2016
πŸ˜… Nilihitaji hii!
πŸ‘₯ Joseph Njoroge Guest Jul 4, 2016
πŸ˜†πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ John Lissu Guest May 28, 2016
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Grace Majaliwa Guest May 26, 2016
πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜†
πŸ‘₯ Janet Mwikali Guest May 9, 2016
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Jaffar Guest May 4, 2016
πŸ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
πŸ‘₯ Isaac Kiptoo Guest Apr 14, 2016
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Margaret Anyango Guest Apr 2, 2016
πŸ˜† Nacheka hadi chini!
πŸ‘₯ Thomas Mtaki Guest Mar 17, 2016
🀣 Ninashiriki hii sasa hivi!
πŸ‘₯ Catherine Mkumbo Guest Feb 11, 2016
Kweli mna ucheshi! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Patrick Mutua Guest Jan 21, 2016
😁 Hii ni hazina ya kichekesho!
πŸ‘₯ Mercy Atieno Guest Jan 18, 2016
Hii imenichekesha sana! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Zainab Guest Jan 4, 2016
πŸ˜‚ Kali sana!
πŸ‘₯ Francis Mtangi Guest Dec 26, 2015
Nimecheka hadi machozi 🀣😭
πŸ‘₯ Agnes Lowassa Guest Dec 21, 2015
🀣πŸ”₯😊
πŸ‘₯ Rahma Guest Nov 21, 2015
πŸ˜„ Dhahabu ya vichekesho!
πŸ‘₯ Richard Mulwa Guest Nov 15, 2015
Nimefurahia sana hii! πŸ˜…πŸ˜Š
πŸ‘₯ Janet Sumaye Guest Oct 28, 2015
Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Michael Onyango Guest Oct 12, 2015
Nimeipenda hii joke! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Victor Kamau Guest Oct 3, 2015
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Sarah Karani Guest Sep 3, 2015
Hii ni bomba sana! πŸ€£πŸ‘
πŸ‘₯ Richard Mulwa Guest Aug 28, 2015
πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Zakia Guest Aug 20, 2015
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Rabia Guest Jul 5, 2015
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Charles Mboje Guest Jul 3, 2015
πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Biashara Guest Jun 26, 2015
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Alice Jebet Guest Jun 12, 2015
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Anna Mchome Guest May 27, 2015
πŸ˜‚ Lazima nihifadhi hii!
πŸ‘₯ Mustafa Guest May 22, 2015
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβ€”imebamba! 🀣
πŸ‘₯ Philip Nyaga Guest May 3, 2015
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Victor Mwalimu Guest Apr 24, 2015
Hizi jokes zinabamba sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Esther Cheruiyot Guest Apr 6, 2015
πŸ˜„ Umeimaliza kabisa!

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About