Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Binti:Β Hallow mpenzi, Mambo

Jamaa:Β Poa baby

Binti:Uko wapi?

Jamaa: Niko town napata lunch

Binti:Β Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi

Jamaa:Β Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?

Binti:Β Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.

Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.

Binti:Β Kwanini dear?

Jamaa:Β Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli!

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Martin Otieno Guest Oct 22, 2017
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ George Tenga Guest Aug 22, 2017
Kila siku napenda jokes zenu! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Grace Mushi Guest Jun 22, 2017
🀣 Ninashiriki hii na kila mtu!
πŸ‘₯ Tabitha Okumu Guest May 27, 2017
Hii kichekesho inastahili tuzo! πŸ†
πŸ‘₯ Nora Lowassa Guest May 12, 2017
Hii joke imenikumbusha enzi zile! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Patrick Akech Guest May 6, 2017
πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Andrew Odhiambo Guest Apr 27, 2017
Nimefurahia sana hii joke! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Henry Sokoine Guest Mar 7, 2017
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜„
πŸ‘₯ Mwanahawa Guest Mar 2, 2017
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! πŸ˜ƒ
πŸ‘₯ Samuel Were Guest Feb 27, 2017
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🀣😭
πŸ‘₯ Daniel Obura Guest Feb 25, 2017
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Nancy Akumu Guest Feb 4, 2017
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ Hashim Guest Jan 29, 2017
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! πŸ˜†
πŸ‘₯ Anna Malela Guest Jan 25, 2017
πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Daniel Obura Guest Dec 13, 2016
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🀣😭
πŸ‘₯ Alice Jebet Guest Dec 6, 2016
πŸ˜… Bado nacheka!
πŸ‘₯ Dorothy Mwakalindile Guest Dec 6, 2016
🀣 Hiyo twist mwishoni, ingawa!
πŸ‘₯ Elizabeth Mrema Guest Nov 15, 2016
πŸ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
πŸ‘₯ Catherine Mkumbo Guest Nov 15, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Fredrick Mutiso Guest Nov 5, 2016
Hii imenikuna sana! πŸ˜†πŸ˜…
πŸ‘₯ Ibrahim Guest Sep 21, 2016
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Violet Mumo Guest Sep 1, 2016
πŸ˜† Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Mariam Kawawa Guest Aug 16, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Aug 6, 2016
Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Dorothy Nkya Guest Jul 16, 2016
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! 😁
πŸ‘₯ Grace Mligo Guest Jul 16, 2016
πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Joyce Aoko Guest Jul 5, 2016
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Tambwe Guest Jul 4, 2016
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! πŸ˜†
πŸ‘₯ Stephen Malecela Guest Jun 21, 2016
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! 😜
πŸ‘₯ Rose Mwinuka Guest Jun 18, 2016
Hizi jokes zinabamba sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Violet Mumo Guest May 31, 2016
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Francis Njeru Guest May 1, 2016
πŸ˜† Naihifadhi hii!
πŸ‘₯ Francis Mtangi Guest Apr 29, 2016
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Betty Kimaro Guest Apr 8, 2016
πŸ˜‚ Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
πŸ‘₯ Elizabeth Malima Guest Mar 30, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Issa Guest Mar 29, 2016
πŸ˜‚ Ninaihifadhi hii!
πŸ‘₯ Nancy Kawawa Guest Mar 21, 2016
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜…πŸ˜Š
πŸ‘₯ Faith Kariuki Guest Mar 21, 2016
Hii imenifurahisha sana! πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Agnes Njeri Guest Mar 14, 2016
πŸ˜† Hii imenigonga kweli!
πŸ‘₯ Lucy Wangui Guest Feb 22, 2016
πŸ˜† Hiyo punchline ilikuwa kali!
πŸ‘₯ Wande Guest Feb 14, 2016
😁 Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
πŸ‘₯ George Tenga Guest Feb 7, 2016
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Halima Guest Feb 4, 2016
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ James Malima Guest Jan 21, 2016
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Peter Mwambui Guest Dec 29, 2015
πŸ˜… Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
πŸ‘₯ Brian Karanja Guest Dec 24, 2015
Hii imenibamba sana! πŸ˜…πŸ€£
πŸ‘₯ Daudi Guest Nov 17, 2015
🀣 Sikutarajia hiyo!
πŸ‘₯ Grace Wairimu Guest Nov 8, 2015
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Dorothy Majaliwa Guest Oct 25, 2015
Umesema kweli! πŸ‘ŒπŸ˜‚
πŸ‘₯ Patrick Akech Guest Sep 10, 2015
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Nancy Kabura Guest Aug 26, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Francis Njeru Guest Jul 28, 2015
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! πŸ˜„πŸ˜…
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest Jul 7, 2015
Napenda jinsi mnavyofikiria! πŸ€”πŸ˜†
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Jun 26, 2015
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Samson Tibaijuka Guest Jun 21, 2015
Hii ni joke ya ukweli kabisa! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Edward Lowassa Guest Apr 7, 2015
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ‘

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About