Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?
MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia.
MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje?
MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa.
MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa. MKE; Ilikuaje wewe ukapona? MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia. MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje? MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa. MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?Kwa sababu ndege hutumia mda mchache (mβ¦
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:Ndugu wasafiri wote, ndege unayβ¦
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari β¦
SINA MBAVU NA HIKI KISA;BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE!Baada ya mwiz kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla β¦
VipimoMrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tuKuku (Mkate kate Vipande) - 4 LBKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 Vijiko vya supuChumβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate