WIVU HUU NI NOMA
Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?
Mume: Kama nywele za kichwa changu.
Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.
WIVU HUU NI NOMA Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje? Mume: Kama nywele za kichwa changu. Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenuNAKUA: Hakuna kitu kama hichoDOGO: Kweli baba kuna β¦
Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzβ¦
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦..Wanavyopenda helaππππππππ
MAMBO YA FEDHA AISEEβ¦β¦. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= β¦acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagunduaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate