Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.
ungekua wewe ungemjibu nini
Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya. ungekua wewe ungemjibu nini
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jion unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.β¦
MAMBO YA FEDHA AISEEβ¦β¦. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= β¦acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagunduaβ¦
Watu wengi tumekuwa hatufahamu utumiaji wa pipilipili, hasa pilipili mbuzi. Naomba leo tuangalie kwa uchache faida hizo za pilipili mbuzi.1. Pilipili β¦
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.MahitajiMajani ya kisamvuKaranga nusu kikombekitunguu kimojanyanya mbilikaroti mojamafuβ¦
Kumbuka kuwa wewe ni wanguKitulizo cha moyo wanguKwenye shida na rahaWewe ni sehemu ya maisha yangu milele Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate