Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya. ungekua wewe ungemjibu nini