Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
"Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto
zako,
Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko
chako,
Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye
A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA
NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba "Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto zako, Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko chako, Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwelππππππβ¦
Uzinzi na uasherati wakati huu umekuwa ndio sumaku kuu ya kuwanasa watu ili waende jehanamu.Sumaki hii imewanasa hata ambao hawakutegemewa wala kutaraβ¦
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi niujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenziramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bilaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate