Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba "Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto zako, Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko chako, Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!