Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniβ¦.
Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.
Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajajaβ¦. πππ
Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniβ¦.Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajajaβ¦. πππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Unakuta MTU mwaka MzimaUmehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30,Mikutano kanisani 40, Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman??ππππβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate