Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
"Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo
zako naβ¦β¦..
Kabla hajamalizia sentensi simu
ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake.
Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku
jamaa anasikia
"Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile
nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni
20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio.
Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama
ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada
ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa
akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema
umenichoka nikusanye nguo zangu halafu
iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa
nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue".
Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako naβ¦β¦.. Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake. Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku jamaa anasikia "Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni 20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio. Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema umenichoka nikusanye nguo zangu halafu iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue".
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Upendo hauandamani na ubinafsi. Huwezi kusema una upendo wa kweli kama huwezi kujinyima vile unavyovipenda kwa ajili ya yule au wale unaowapenda. Upenβ¦
Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake ambazo hutumika kama kiungo cha chakula. Vitunguu vina matumizi mengi sana na vina maβ¦
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YAβ¦
Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisanipeke yake.Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wapili, akafanya ishara ya msalaba kisβ¦
Njia za kumfanya akukubali ni kama ifuatavyo Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashatβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate