Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?
MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia.
MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje?
MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa.
MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa. MKE; Ilikuaje wewe ukapona? MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia. MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje? MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa. MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Unafahamu nini kuhusu suala la kumlaza mwanao? Maana Mapokeo tuliyo yapokea enzi na enzi ni kuwa ukitaka mtoto wako alale bila kushtuka basi alalie tuβ¦
MahitajiDaal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwaBizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chaiPili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chaiβ¦
Sikiliza, hakuna haja ya kuketi chini ili kuelewa ujumbe huu: Ukweli unabaki kwamba wengi wanajihusisha kupita kiasi na yale yasiyo ya msingi katika sβ¦
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeβ¦bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.Kuna β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate