Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.
Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendayeβ¦
Njia za kupima AfyaNjia mbalimbali hutumika kupima hali ya lishe, njia hizi ni;1. Vipimo vya umbile la mwili2. Vipimo vya maabara3. Kuchukua historia β¦
Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, iβ¦
Je unakula chakula bora ambacho ni bora pia kwa ajili ya macho yako? Kula vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu; macho nayo yakiwemo. Kunaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate