Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS...
Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?...
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako?
SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?...
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?...
Unanitizama nimekupiga?
Unanitizama nimekupiga?...
Je, glass ina Maji kiasi gani?
SWALI: Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka...
Bwana Afya wa Porini
Kitendawili.....
Bwana Afya wa Porini...
Je, glasi itakuwa vipande vingapi?
Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya...
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa
...
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja...
Namkata lakini hakatiki
Namkata lakini hakatiki...