SWALI: Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?

Onesha Jibu

JIBU: Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.