Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Je, glasi itakuwa vipande vingapi?

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

SWALI:ย Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya mpira ukaanguka chini na kudunda mara tatu. Je, glasi imebaki vipande vingapi?

Onesha Jibu

JIBU: Glasi bado ni nzima. Mpira ndio ulianguka. Glasi haikuanguka



AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 0

Please log in or register to comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts! ๐Ÿ“

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About