ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š 1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #23091

Raha ya kuoa kijijini

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Kuoa vijijini raha sana Hata ukiulizwa unafanya kazi gani ukiwaambia mimi ni admin basi daaaah wanaona wewe ni bonge la bossπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22597

Simu ilivyozua utata

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22321

Mjini shule. Soma hii

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23126

Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Duh! MaishaIle time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATANi shetani tu anajaribu kucheza na akili zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2116

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya ku…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22661

Angalia huyu bibi alichotufanyia kwenye gari

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

​tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda​Konda- bibi twende sit kibao ata utalalaBibi - oooh sawa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22811

Kilichotokea Leo mahakamani

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Order…Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu …Nimewekwa kwa karoom kengine h…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22686

Cheki kilichotokea baada ya kufumaniwa

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku!WATU WEN…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #8389

Wasichana wa leo

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nita…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22382

Acha usumbufu…

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJAHIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha Usu…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7646

Amri za chuo

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Ndio hizi sasa1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7491

Kingereza sio mchezo, angalia huyu anavyojichanganya

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22875

Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/-Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila k…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22841

Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana.Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya k…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22936

Huyu Jamaa ubahili umezidi kwa hiki anachomwambia huyu dada

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Kama ni ubahili hapa umezidimdada Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyokaJAmaa embu mpe huyo nyoka cm niongee nae.. maisha yanakaba..πŸ˜‚β€¦

ACKYSHINE ARTICLE Β· #8303

SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta…