Mke:Β Naelekea london, nikuletee zawadi gani?

Mume:Β kitu gani unaweza niletea wewe?

Mke:Β we omba Alafu utaona.

Mume:Β Niletee msichana wa kizungu.

Mke:Β (mke akaendaLondon na kurudi)

Mume:Β zawadi yangu iko wapi?

Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ™ˆ
Pia Wamama hawapendi ujinga