Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Amri ya Kumi ya Mungu: Makatazo na Amri

Featured Image
Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru kuheshimu mali ya wengine na kumpenda Mungu kupita vitu vyote
50 💬 ⬇️

Maswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao

Featured Image
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba? Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
50 💬 ⬇️

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Mungu

Featured Image
Mungu ndiye muumba wa kila kitu katika uwingu na nchi, Mkubwa wa ulimwengu mwenye kuwatuza watu wema na kuwaadhibu watu wabaya.
50 💬 ⬇️

Amri ya Saba ya Mungu: Usiibe - Tambua mali ya mtu na kuheshimu

Featured Image
Je, Amri ya Saba ya Mungu inafundisha nini? Amri ya saba ya Mungu inafundisha kuitambua mali ya mtu na kuiheshimu. Mali ya mtu ni ipi? Mali ya mtu ni ile aliyoipata kwa njia halali yaani kwa haki.
50 💬 ⬇️

Maswali yanayoulizwa sana Kumhusu Bikira Maria

Featured Image
102 💬 ⬇️

Amri ya Tisa ya Mungu: Mambo inayokataza na inayoamuru

Featured Image
Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa
50 💬 ⬇️

Mambo ya Msingi kujua kuhusu Sakramenti ya Kitubio

Featured Image
51 💬 ⬇️

Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha umuhimu wa sala katika maisha ya Kikristo?

Featured Image
Habari za leo! Leo tunajikita katika swali hili la muhimu: Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha umuhimu wa sala katika maisha ya Kikristo? Naam, jibu ni ndio! Sala ni sehemu muhimu sana ya maisha ya Kikristo, na Kanisa Katoliki linatumia nafasi yake ya kipekee kuonyesha umuhimu huo. Endelea kusoma ili kujua zaidi!
50 💬 ⬇️

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Ishara ya Msalaba

Featured Image
Ishara ya msalaba ni nini? Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka “Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Mitume

Featured Image
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.
50 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About