Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Maswali na Majibu kuhusu Karama

Featured Image
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi? Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni umoja wa Kanisa unaotokana na ustawi wa upendo na vipaji ndani ya waamini.
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu utunzaji wa mazingira?

Featured Image
Hata kama unafunga siku ya Ijumaa, usisahau kuacha mazingira yako safi! Kanisa Katoliki linasisitiza juu ya utunzaji wa mazingira kwa ajili ya vizazi vijavyo. Fanya sehemu yako kwa kuhakikisha mazingira yako ni safi na salama kwa wote.
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Mitume

Featured Image
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Rehema

Featured Image
Rehema ni nini? Rehema ni msamaha au ondoleo la adhabu ya dhambi tulizostahili sababu ya dhambi zilizokwisha ondolewa
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu amri kumi za Mungu?

Featured Image
Ni wakati wa kujua zaidi!
50 💬 ⬇️

Mafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu

Featured Image
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.
100 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Ufufuko wa wafu

Featured Image
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele.
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Kanisa Katoliki

Featured Image
Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria? Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidi wanaposali kupitia Bikira Maria kwani Bikira Maria anatuombea kile tunacho mwomba. Bikira Maria anasimama Kama mwombezi wetu mbele ya Mungu hasa pale tunaposhindwa kusali Inavyotakiwa.
50 💬 ⬇️

Je, Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi uadilifu wa kijamii na kupinga ubaguzi na ukosefu wa haki katika jamii?

Featured Image
Je, unajua kwamba Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi uadilifu wa kijamii na kupinga ubaguzi na ukosefu wa haki katika jamii? Hiyo ni habari njema kwa sababu tunaweza kuwa wakala wa mabadiliko katika jamii yetu!
50 💬 ⬇️

Amri ya nne ya Mungu: Kuheshimu Wazazi

Featured Image
Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kol 3:20) Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12), Kol 3:20
50 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About