Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake

Featured Image
237 πŸ’¬ ⬇️

Angalia nilichokifanya baada ya kuumwa na meno

Featured Image
237 πŸ’¬ ⬇️

Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

Featured Image
MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!? MLEVI; "Ndio. MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!? MLEVI; "Nakunywa bia tano!
236 πŸ’¬ ⬇️

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Featured Image
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
236 πŸ’¬ ⬇️

Ndoa zina mambo, cheki haya mambo ya mtu na mke wake

Featured Image

Mke: mume wangu leo 2badilishe stail kwani nimechoka kla siku hiyo hiyo tu
Mme: kwel mke wang hata mimi nilikuwa nataka nikuambie hivyo hivyo

Β 

238 πŸ’¬ ⬇️

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

Featured Image
237 πŸ’¬ ⬇️

Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga

Featured Image
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…"
236 πŸ’¬ ⬇️

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani

Featured Image
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? . MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini… Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
238 πŸ’¬ ⬇️

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

Featured Image
236 πŸ’¬ ⬇️

Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake

Featured Image
Mtoto ni wa baba au wa mama? Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto. MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
238 πŸ’¬ ⬇️
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About