PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Mafundisho ya Katekisimu Β· 89

πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Biblia

Neno Bwana lina maana gani katika Biblia? Neno Bwana Katika Biblia linamaanisha "Mungu Mtawala" Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali yanayoulizwa sana Kumhusu Bikira Maria

Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria? Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria? Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidi wanaposali kupitia Bikira Maria kwani …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu kuhusu Sakramenti ya Daraja

Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani? Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake kwa ajili ya Kanisa na jamii. Daraja inatia uwezo wa Kristo kwa ustawi wa Kanisa, Bibi arusi wake. Ndoa inatia upen…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Muhimu kujua kuhusu dhambi

Dhambi ya asili ndio nini? Dhambi ya asili ambayo binadamu wote wanazaliwa nayo, ni hali ya kukosa utakatifu na hali ya asili ya urafiki na Mungu Adhabu gani walipewa Adamu na Eva? Adamu na Eva kwa ukubwa wa dhambi yao ya kiburi na ya uasi: 1. Walipoteza neema ya utakaso 2. Walifukuzwa paradisini 3.…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu dhamira

Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu Katika hukumu zake dhamira ifuate nini? Katika hukumu zake dhamira ifuate daima Injili, Amri za Mungu na za Kanisa na wajibu zetu. Twajenga na ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Msingi unayopaswa kufahamu kuhusu Ekaristi

Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi? Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ekaristi, iliyo kuu kuliko sakramenti zote kwa sababu ndiyo Yesu mzima, Mungu-mtu, katika maumbo ya mkate na divai. Sisi ambao tulishiriki kifumbo kifo na ufufuko wake tukapokea kwake paji la Roh…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Mafumbo ndani ya Kanisa Katoliki

Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje? Laitwa fumbo la Utatu Mtakatifu. (Lk, 3:21-22) Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho? Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15) Nini maana ya neno "Fumbo"? Fumbo ni ukweli ambao hatuwezi kuelewa kikamilifu, lakini tunasad…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Hukumu ya Mwisho

Ufufuko wa wafu maana yake nini?Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?Baada ya kifo roho yake inafika mbele ya Mungu kwa hukumu ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Kifo

Motoni ni nini? Motoni ni makao mabaya kwa Shetani walaaniwa wakaapo mbali na Mungu wakiteswa milele. (Mt 25:41, Mik 9:42-43, 1Yoh 14:15) Uzima wa milele ni nini? Uzima wa milele ni maisha ya kukaa mbinguni na Mungu yasiyokua na mwisho. Mambo makuu manne ya mwisho ni yapi? Mambo hayo ni; 1. Kifo2. H…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya muhimu kujua kuhusu Sakramenti ya Kipaimara

Sakramenti ya Kipaimara ni nini? Ni Sakramenti yenye kumpa Mkristu Roho Mtakatifu na ukamilifu wa mapaji yake saba, kumfanya mkristu mkamilifu na kumwandika Askari hodari wa Yesu Kristo Mpaka Kufa

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Msingi kujua kuhusu Sakramenti ya Kitubio

Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwisho wa dunia waamini wake watakaopatwa n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Kuabudu kwa Wakatoliki

Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani? Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Liturujia

Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi? Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili 1. Litrujia ya Neno2. Liturujia ya Ekaristi Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi? Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu tatu 1. Matayarisho ya vipaji2. Sala ya Ekaristi3. Ibada ya Komunyo Liturujia ni nini? Liturujia ni tendo …

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Malaika

Kwanza Mungu aliumba nini? Kwanza Mungu aliumba Malaika (Kol 1:16) Malaika ni viumbe gani? Malaika ni viumbe vya Mungu vilivyo roho tu wenye akili na utashi. (Zab 91:11, Ebr 1:7, Ufu 12:7-9) Mungu aliumba Malaika katika hali gani? Mungu aliumba Malaika katika hali njema na heri kubwa. Malaika wote w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Mapokeo ndani ya Kanisa Katoliki

Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.

Open printable article β†’