PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Hii kazi kweli kweli, Ungekua wewe ungefanyaje?

UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA WW NDIO UMETOKA MLE NDANI ..unaamua kuru…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu bibi kazidi sasa

Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka "Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua", Bibi kajibu "Bado Mtama"bibi ujinga hapendagi"😑😑😑😑😑

Open printable article β†’
πŸ“„

Omba omba sio barabarani tuu

Boy:- baby ivi nikifa utakuja msibani? Girl:-ntakuja ukinitumia nauli. Hapo ndo unagundua kuwa sio kila omba omba yuko barabarani. πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€”

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh, huyu mama alichokifanya

Mke: Naelekea london, nikuletee zawadi gani?Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?Mke: we omba Alafu utaona.Mume: Niletee msichana wa kizungu.Mke: (mke akaendaLondon na kurudi)Mume: zawadi yangu iko wapi?Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ™ˆPia Wamama hawapendi ujinga

Open printable article β†’
πŸ“„

Mcheki Chizi na daktari

Tafakari na ujumbe huuuu!!!…DAKTARI :- Unajisikiaje?CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibetπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Baadhi ya misemo mikali ya leo

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa B…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki tulichokifanya jana

JANA APA HOMEJENERETA LILIWASHWAACHA TUHANGAIKE KULIKUNAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu

Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa

JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng'ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng'ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng'ombePADRI: Mi naona mueleze Mungu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu mtoto anachosema

sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia GRANDMOTHER CRY😠😠😠 sijui nikabadilishane na kijiko cha chumviπŸ€”πŸ€”πŸ€”

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mama mkwe kazidi sasa

Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini zip…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki nilichomfanyia huyu dereva tax

Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea…Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya….nikamwambia_ ..KATA KUSHOTO πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kisa cha mzaramo na mchaga

MZARAMO V/S MCHAGA.Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yoooooootekwa tsh. 100,000/=Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia lakiyako nakukuongeza laki nyingine.MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.MZARAMO: "unaumwa nini?"MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomon…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wanandoa wa Kijapani wakibishana

*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani**Husband: Takamushi jiku.**Wife :hashi jiku mishihe**Husband: inamoto kushini hat a pi**Wife: jejeta takuna mota shinita**Husband: kituya sitina kutara*.*Wife: totori yatika miniya*_Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheka kidogo na wewe hapa

*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜

Open printable article β†’