Tafakari na ujumbe huuuu!!!โ€ฆ

DAKTARI :- Unajisikiaje?

CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.

DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.

CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚