PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Ujana na Makuzi | Mapenzi na Ngono Salama Β· 545

πŸ“„

Mimi ni msichana Albino ninaogopa kuwa na rafiki mwanaume kwa kuhofia kuwa anataka tu kujamiiana na mimi na halafu aniache

Wakati mwingine kuwa na muonekano tofauti na watu wenginehuvuta udadisi. Na hasa tukikumbuka kwamba uvumi uliopounasema kuwa Albino wako tofauti katika kujamiiana jamboambalo linaimarisha udadisi huu. Kwa maana hiyo basi, chukuamuda wa kutafakari. Kama vile tunavyofanya katika urafikimwingine ni laz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini Albino wengi hawataki kuoa/kuolewa au kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi?

Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingiya kabila, rangi, dini, kimo au hata ualbino) wanapata shidaya kujichanganya katika jamii. Jambo hili linazidi kufanya halikuwa ngumu katika kupata nafasi ya kuanza uhusiano. Kwa hiyo,siyo sahihi kulinganisha hali hii kwa watu wanaoishi na ua…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini siku hizi kuna tofauti ya wanaume katika jamii kuwa wazi/tayari kuwa na uhusiano na wanawake Albino?

Mapenzi ya kweli hayabagui dini, kabila wala rangi. Kwakawaida, mapenzi ni matokeo ya hisia za mvuto. Kwa maanahiyo, inawezekana kweli wanaume hawa wamevutiwa na hawawanawake enye ualbino. Ni muhimu pia kuwa na uhakika kuwaanayesema anakupenda, anasema ukweli na zaidi anathaminipenzi lako unalomwony…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna vipimo ambavyo vinaweza kugundua hali ya kuwepo kwa ualbino wakati kichanga kikiwa bado tumboni?

Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mamamjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,kama wazazi watakuwa wamepata mtoto Albino. Uwezekano wakujua kama mimba inayofuatia kichanga kitakuwa na ualbino kwakutumia kipimo maalamu kinachovuta maji yaliyo kwenye mji wamimba na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mtu anaweza kuzuia kupata mimba baada yakujamiiana bila kinga (kufanya ngono zembe) kwa mfano amebakwa?

Kama umebakwa au kulazimishwa kujamiiana unaweza kupatahuduma katika hospitali, kituo cha afya , zahanati au kutokakwa mhudumu wa afya ambaye atakupatia vidonge vya dharuravya kuzuia mimba. Hivi ni vidonge ambavyo vinatumika ilikupunguza uwezekano wa kupata mimba kama ulijamiiana bilakinga, au umesa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?

Ni kweli kuwa daktari anaweza kufanya vipimo vya kugunduakama mtoto aliye tumboni ni mwenye ulemavu au la. Baadhi yavipimo hivi ni β€œultra sound” ambacho kinawezesha kuona picha yaumbo la mtoto akiwa bado tumboni. Vipimo vingine vinaangaliadamu. Lakini ualbino hauwezi kugundulika kwa vipimo hivi.Pia …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, wazazi ambao wote ni Albino wanaweza kupata mtoto ambaye siyo Albino?

Kwa kawaida, wazazi wote wakiwa Albino watazaa mtotoAlbino. Kwa maana hiyo basi, iwapo watu wawili wanaoishi naualbino wataamua kuunda familia itakuwa vizuri wafikirie kwamakini kama wangependa kuzaa pamoja wakizingatia matatizoambayo wamewahi kupitia wao wenyewe kama Albino ndani yajamii. Ualbino n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?

Katika masuala ya athari za mimba katika umri mdogo nikwamba vijana Albino hawana tofauti na vijana wengine . Badoinashauriwa na kutiliwa mkazo umuhimu wa msichana kutopatamimba akiwa na umri chini ya miaka 18.Sababu kubwa ikiwa nikuwa mwili wa msichanaambaye umri wake ni chiniya miaka 18 haujakomaa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mimi ni msichana Albino ninaweza kupata mimba kama nikijamiiana mara moja tu?

Ndiyo msichana anaweza kupata mimba kwa kujamiiana maramoja tu bila kujali ana rangi gani ya ngozi. Wasichana weupe,weusi na wanaoishi na ualbino au wasio na ulemavu wa ngoziwanafanana wote inapokuja kwenye suala la uwezekano wakupata mimba. Kinachobainisha/ kinachosababisha upatikanajiwa mimba ni w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?

Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa nakuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wotekuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhiamikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya yahaki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Hakimuhimu za ujin…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto bila matatizo?

Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezowa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba ulemavu huu uko tu kwenyengozi na siyo kwenye via / mfumo wa uzazi. Kwa maana hiyobasi; Albino anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri. Piawanaweza kuzaa watoto wenye ngozi ya kawaida (blackii) kamamzazi mwenzie …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto wangapi?

Kwa vile Albino hana tofauti na watu wengine inopokujakwenye suala la idadi ya watoto wa kuzaa jambo la msingi niyeye mwanamke au mwanaume Albino kuzaa idadi aliyojipangiamwenyewe. Akitia maanani uwezo alio nao wa kuwatunza nakuwapa mahitaji muhimu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wanaoishi na ulemavu wanapewa huduma za upasuaji hasa wakati wa kujifungua?

Upasuaji unafanyika kwa wanawake wote ambao wamegundulikakuwa na tatizo la kujifungua kwa njia ya kawaida. Hii inafanyikabila kujali hali yao kwa maana kwa watu wenye ulemavu nawasio na ulemavu. Kila mwanamke atapata huduma hiyo kamaitakuwepo sehemu anapoishi.Tatizo lililopo hapa Tanzania kwa sasa h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ukweli kuhusu albino

Je, ualbino unaambukiza? ……….. HapanaUalbino ni ugonjwa? ………..HapanaUalbino ni laana? ………..HapanaUalbino ni kitu cha kawaida? ………..HapanaUalbino unawapata tu watu weusi?……….. HapanaWatu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?……….. HapanaAlbino ni watu wenye imani za ushirikina? ………..HapanaAlbino wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Afya ya uzazi ni nini?

Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana uhuru wa kua…

Open printable article β†’