PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu Β· 165

πŸ“„

Mambo ya kuzingatia kujikinga na chunusi | Jinsi ya kuzuia

Mambo mhimu ya kuzingatia1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku2. Kunywa maji mengi kila siku3. Ondoa mfadhaiko (stress)4. Weka homoni sawa kama hazipo sawa5. Kuwa msafi wa mwili wote kila mara6. Usiziguse chunusi au kuzitoboa na mikono yako au na chochote kuepuka makovu yasiyo ya lazima7…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vitu vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume

Vifaa vya kieletronikiVifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivi ni pamoja na simu na Kompyuta.Usiweke simu ndani ya mfuko wako w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume

Kula lishe boraChakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano. Ongeza zaidi matunda, mboga za majani na mafuta yenye afya.Acha kutumia kahawa, vinywaji na vyakula vyen…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vyakula vinavyowezesha ubongo ufanye kazi kwa ufanisi

Mafuta ya zeituniMafuta ya naziSamakiBinzariMayaiKoroshoMazoezi ya viungoBroccoliParachichiMvinyo mwekunduSpinachiLozi (Almonds)Mbegu za mabogaKitunguu swaumu

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali

Chunusi ni nini? Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha vipele vidogo vidogo vya mafuta kwenye ngozi na wakati mwingine hufanya ngozi kuwa na maumivu au kuhisi kuungua. Viupele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta na seli za ngozi zilizokufa au wadud…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu

Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda.Kama unapatwa na kushuka kwa shinikizo la damu mara kwa mara basi kunywa kikombe cha kahawa asubuhi au unywe wakati unakula cha mchana n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu

Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo1. Chukua zabibu kavu Loweka zabibu 30 mpaka 40 ndani ya kikombe cha maji kwa usiku mzima.2. Asubuhi kabla ya kula wala kunywa chochote kula zabibu moja baada ya nyingine na unywe pia maji yake3. Rudia zoezi hili kila siku …

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Mrehani (basil) kutibu presha ya kushuka

Hii ni dawa nzuri ya kutibu shinikizo la chini la damu sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C, magnesiamu na potasiamu, vilevile dawa hii husaidia kuweka sawa akili na kuondoa msongo wa mawazo (stress).MatumiziChukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichiSaga au twanga kupata maji maji yake (jui…

Open printable article β†’
πŸ“„

Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu

Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana.Dalili za ugonjwa wa shinikizo la chini la damukizunguzungu,uchovu,udhaifu,kupumua kwa shida,kupungua kwa nuru ya macho nkShinikizo la kawaida la damu vi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumvi

Kunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chumvi hupandisha juu shinikizo la damu. Usizidishe dawa hii kwa sababu chumvi nyingi kuzidi ina madhara kiafya.Matumizi:Changanya nusu kijiko cha chai cha chumvi ndani ya maji glasi moja (robo lita) na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu

Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;Loweka lozi 5 mpaka 6 kwenye kikombe cha maji kwa usiku mmojaAsubuhi menya hizo lozi na uzisageChukua hizo lozi ulizosaga na uweke ndani ya kikombe cha maziwaChemsha mchanganyiko huu kwa dakika kadhaaKunywa kinywaji hiki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka

Hatua za kufuata1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri3. Kunywa yote asubuhi tumbo likiwa tupu na jioni glasi nyingine kwa majuma kadhaa

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu

Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu.Lakini inaweza pia kutumika kutibu shinikizo la chini la damu hasa ikiwa hili shinikizo la chini la damu limesababishwa na upungufu wa maji mwilini (dehydration).Kutibu shinikizo la chini la damu unaweza kuchanganya juisi ya limau na chu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu

Hatua za kufuataChukua Kijiko kikubwa kikubwa cha tangawizi mbichi iliyoparuzwaChanganya na Kikombe kimoja cha maji ya motoChemsha katika moto kwa dakika 12 hiviKisha ipua na uchujeIkipoa kidogo kunywa yote,fanya hivi mara 2 kwa siku kila siku

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya maji kutibu shinikizo la chini la damu

Matumizi ya maji ya kunywa ni moja ya dawa rahisi kabisa ya shinikizo la chini la damu.Hii ni kwa sababu Maji ni mhimu kwa kila ogani ndani ya mwili iweze kufanya kazi zake sawa.Kwa hiyo sababu kuu ya mtu kuwa na shinikizo la chini au hata la juu ni matokeo ya mishipa ya damu kutokuwa na vimiminika …

Open printable article β†’