PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

📗📘📙ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya · 266

📄

Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

VIAMBAUPISHIUnga 300gmSiagi 225gmIcing Sugar 60gmChokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) - 225gmVanilla – Vijiko 2 vya chaiYai -1Baking Powder ½ kijiko cha chaiNjugu za vipande ½ kikombe cha chaiNjugu zilizosagwa ¼ kikombe cha chaiJINSI YA KUTAYARISHAPiga sukari na siagi katika mashine ya keki mpaka iw…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Mgagani

Viamba upishiMgagani mkono 1Mafuta vijiko vikubwa 4Karanga zilizosagwa kikombe ½Maji kikombe 1Kitunguu 1Karoti 2Maziwa kikombe 1Chumvi kiasiHatua• Chambua mgagani, oshana katakata.• Chemsha maji, weka chumvi kisha ongeza mgagani, funika zichemmke kwa• dakika 5-10.• Menye osha na katakata kitunguu.• …

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

Viamba upishiUnga wa ngano vikombe vikubwa 3Boga lililopondwa kikombe 1Baking powder vijiko vidogoSukari kikombe kikubwa 1Blue band kikombe ½Vanilla kijiko kidogo 1Mayai 2Maji kiasi/ maziwa(kama nilazima)Hatua• Osha boga, Kata, ondoa mbegu, kisha kata vipande vikubwa, chemsha na maji mpaka vilainike…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Mboga Za Majani Makavu (Aina Yoyote)

Viamba upishiMboga za majani makavu ¼ kgMafuta vijiko vikubwa 3-4Karanga zilizosagwa kikombe ½Maziwa au tui la nazi kikombe 1Kitunguu 1Nyanya 2Chumvi (kama kuna ulazima)Maji baridiHatua• Loweka mboga za majani makavu na maji kwa dakika 10-15.• Osha , mboga na katakata nyanya na vitunguu.• Kangaa, pu…

Open printable article →
📄

Utayarishaji bora wa chakula

· Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baadaya kutayarisha chakula· Tumia vyombo safi na sehemu safi kwakutayarisha na kula chakula· Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kula· Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikonidakika kumi baada ya kuchemka

Open printable article →
📄

Vidokezo vya kukusaidia ule mboga za majani zaidi

Ulaji wa mboga za majani ni muhimu kwa sababu zina vitamini na madini mengi na viwango vidogo vya kalori. Ili uongeze mboga zaidi za majani katika milo yako, fuata vidokezi hivi vifuatavyo;Gundua njia za kupika harakaPika mboga mpya za majani au zilizogandishwa kwa barafu katika wimbi mikro kwa mlo …

Open printable article →
📄

Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU

Kuna nyama za aina mbili, nazo ni nyama nyeupe na nyama nyekundu.Nyama nyeupeHizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, waduduNyama nyekunduHutokana na ng’ombe, mbuzi, kondoo,nguruwe na wanyama wa porini.Nyama ina virutubishi vingi muhimu kwa afya ya binadamu kama protini, v…

Open printable article →
📄

Mambo ya msingi kufahamu kuhusu Lishe

Nini maana ya lishe?• Lishe yahusu mafunzo ya chakula na jinsi miili yetu inavyotumia chakula kamakichocheo cha ukuaji, kuzaana na utunzaji wa afya.• Lishe inajumuisha mchakato wa utoaji virutubishi vinavyohitajika kwa afya, ukuaji, kuendelea na kuishi.Umuhimu wa lishe boraLishe bora ni muhimu katik…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia

Viamba upishiNgogwe ½ kgKitunguu 2Bamia ¼ kgKaroti 2Mafuta vijiko vikubwa 8Maji vikombe 3 Mayai 2Nyanya 2ChumviHatua• Osha, menya na katakata nyanya na vitunguu.• Osha, menya na kata karoti virefu virefu.• Osha, kata ncha za bamia pande zote na kama ndefu sana katavipande viwili.• Osha, kata vikonyo…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo

Viamba upishiMashonanguo mkono 1Tui la nazi kikombe 1Karanga zilizosagwa kikombe ½Mafuta vijiko vikubwa 4Kitunguu 1Nyanya ndogo 2Chumvi kiasiHatua• Chambua mashona nguo mateke, osha na katakata.• Menya osha na katakata kitunguu.• Osha, menya na katakata nyanya.• Kaanga karanga, ondoa maganda na saga…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya

Viamba upishiNyanya 1 kgMaji Iita ½Chumvi kijiko kidogo 1SukariHatua• Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.• Chuja juisi.• Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, wekakwenya sufuria safi .• Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.• Mara ikichemka epua, p…

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga

ViambaupishiMchele 3 vikombeNyama ya kusaga 1 LBMchanganyiko wa Nafaka (upendavyo) 1 kikopo(maharagwe, njegere, mbaazi, na kadhalika)Vitunguu maji kata vipande vipande 3 vya kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi 2 vijiko vya supuMafuta ½ KikombeMchanganyiko wa bizari (Garam Masala) 2 vijiko …

Open printable article →
📄

Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama

Viambaupishi: WaliMchele 3 MagiMafuta 1/4 kikombeKaroti unakata refu refu 3Vitunguu maji kata vikubwa vikubwa 1 kikubwaPilipli manga 1/2 kijicho chaiHiliki 1/2 kijiko chaiKarafuu ya unga 1/4 kijiko cha chaiMdalasini wa unga 1/2 kijiko cha chaiZaafarani (ukipenda) roweka katika maji 1 kijiko cha chai…

Open printable article →
📄

Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha

ViambaupishiVipimo vya Wali:Mchele 3 vikombe*Maji ya kupikia 5 vikombe*Kidonge cha supu 1Samli 2 vijiko vya supuChumvi kiasiHiliki 3 chembeBay leaf 1Viambaupishi: KukuKidari (chicken breast) 1KiloKitunguu 1Tangawizi mbichi ½ kipandeKitunguu saumu(thomu/galic) 7 chembePilipili mbichi 3Ndimu 2Pilipili…

Open printable article →
📄

Mapishi ya Samaki wa kuokwa

MahitajiMackerel 2Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kulaPilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2Limao (lemon) 1/2Chumvi (salt) kiasiCurry powder 1/2 kijiko cha chaiCoriander powder 1/2 kijiko cha chaiMafuta 1 kijiko cha chaiMatayarishoSafisha samaki…

Open printable article →