Viamba upishi

Nyanya 1Β kg
Maji Iita Β½
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari

Hatua

β€’ Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.
β€’ Chuja juisi.
β€’ Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, weka
kwenya sufuria safi .
β€’ Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.
β€’ Mara ikichemka epua, pozesha na weak kwenya chombo safi kwa
kunywa.