πSalamu za kuaga mwaka na kukaribisha mwaka mpya
KWAHERI MWAKA JANA. UMENIFUNZA MENGI.Mwaka umefika mwisho, zimebaki siku tatu tukuingia mwaka mwingine lakini yapo menginiliyojifunza mwaka huu na pengine ningepeshakushare:1. Kwamba si lazima sana kuwa na rundo lamarafiki kama hawaleti positive effects kwenyeβ¦
Open printable article βπKukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
Ukimonyesha mtu fursa akakwambia hana hela mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili awe na hela tukumbuke kuwa hela haitokani na hela hela inatokana na fursaNijukumu la mtu asiye na hela kutafuta njia ya kuwa na hela watu wengi tunachelewa kufanikβ¦
Open printable article βπJipe moyo kamwe usikate tamaa
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja washule.Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya Matokeo ya mchezo.Kwa tabasamu, alijibu "Wako mbele yetu 3-0"!Nikasema, Kweli!Mbona huonekani kukata tamaa..?"Kukata tamaa?"Yule mvulana aliuliza kwa mshangaoβ¦."β¦
Open printable article βπElimu ya biashara
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie tu kwamba upo hapo kwa muda mrefu yamkini unaona panakufaa and you are settled lakini ukweli ni kwamba sio pako na haukutengenezwa kuwa hapo. Hata kama tai ataonekana kwenye banda lβ¦
Open printable article βπNini kinachokufanya udhani utashindwa sasa?
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaumeβ¦halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.Ajabu ya kwanza ni kwamba sio zote 200 - 300 ambazo hufanβ¦
Open printable article βπBADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiβ¦
Open printable article βπJITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda.1. WANA MUDA MWINGI ILA HAWANA PESAWatu ambao hawana pesa ila wana muda wa bwerere. Hawajui thamani ya muda. Hawa ndo wale ambao hawajui cha kufanya. Anaamka mpaka analala usiku hana specific β¦
Open printable article βπNjia nzuri ya kufanikiwa katika maisha
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayejenga GHOROFA na yule anayejenga Nyumba ya KAWAIDA.Anayejenga Ghorofa anatakiwa achimbe msingi Mrefu kwenda chini kabla hajaanzakuinua Ghorofa yake juu. Hivyo wakati huyu mwingine anapokuwa anajenga Nyumba ya kawaida atβ¦
Open printable article βπSiri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona. 2. Tumia kipaji chako. 3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk. 4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahβ¦
Open printable article βπHii ndio inaitwa mbinu ya biashara
Anakuja Mchina anasema anahitaji Pakaπ,ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basiwanakijiji wanahaha kusaka Pakaπ,wanawaleta mchina ananunua wote anasepanao. Anarudi tena anasema vipi, naonawameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya35,000 Pakaπ mmoja, wanakijiji wanaβ¦
Open printable article βπJe, Wewe unayesoma huu ujumbe una ndoto?
KILA mtu duniani ana ndoto ingawa haijalishi ni ndoto gani uliyonayo.Ndoto uliyonayo ina thamani kubwa kuliko fedha wala kitu chochote kile. Ndoto uliyonayo ina nguvu kubwa ya kubadilisha maisha yako na kukufikisha sehemu ambayo ulitaka ufike ama zaidi ya paleβ¦
Open printable article βπAngalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya. Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri.Maskini ana mawazo ya kupata pesa bila kufanya kβ¦
Open printable article βπAngalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri
By Malisa GJ,Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili (kisicho rasmi sana).Mwaka 1998 "Google" walitaka kuiuza kampuni yao kwa "Yahoo" kwa dola Milioni 1 (sawa na Shilingi Bilioni 2) lakini Yahoo wakakataa. Yani Yahoo wakakataa kuinunuaβ¦
Open printable article βπUshauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemβ¦
Open printable article βπUmeshawahi kufanya hili jaribio?
Figisu ya Leo. UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo β¦
Open printable article β