Ukimonyesha mtu fursa akakwambiaĀ hana helaĀ mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili awe na hela tukumbukeĀ kuwa hela haitokani na helaĀ hela inatokana na fursa
Nijukumu la mtu asiye na hela kutafuta njia ya kuwa na hela watu wengi tunachelewa kufanikiwa kwa kutojua majukumu yetu ili kupambana naĀ UMASIKINIĀ mwombe MwenyeziĀ MUNGUĀ kwa imani yako akufungue akiliā¦
To ur Success!