๐Matumizi ya maji kutibu shinikizo la chini la damu
Matumizi ya maji ya kunywa ni moja ya dawa rahisi kabisa ya shinikizo la chini la damu.Hii ni kwa sababu Maji ni mhimu kwa kila ogani ndani ya mwili iweze kufanya kazi zake sawa.Kwa hiyo sababu kuu ya mtu kuwa na shinikizo la chini au hata la juu ni matokeo yaโฆ
Open printable article โ๐Ulaji mzuri hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la chini la damu
Ni mhimu kula mlo kamili kila siku. Kula lishe duni kunaweza kupelekea kuzalishwa kwa damu isiyo na afya inayoleta shinikizo la damu.Kula zaidi vyakula vyenye protini, vyenye vitamini B na C kwa wingi. Kula milo midogo midogo hata mitano kuliko kula miwili au โฆ
Open printable article โ๐Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza
Vyakula hivyo ni;MaharageNyanyaSamakiMboga za majani zenye rangi ya kijaniMatunda jamii ya machungwaMafuta ya naziViazi vitamuVyakula ambavyo havijakobolewaMaziwa yasiyo na mafuta ndani yakeMbegu za mabogaMtindi usio na mafuta ndani yake
Open printable article โ๐Faida za kufanya Masaji kiafya
Masaji uongeza kinga ya mwiliMasaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama โcytokinesโ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikanayo kama โcortisolโ.Kufanya masaji hakuโฆ
Open printable article โ๐Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka
๐Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumviKunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chumvi hupandisha juu shinikizo la damu. Usizidishe dawa hii kwa sababu chumvi nyingi kuzidi ina madharaโฆ
Open printable article โ๐Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili
Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbuWakati mafuta ya nazi yakiwa yamemengโenywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama โketonesโ.Ketones zina uwezo wa kusambaza nguvu katika ubongo hata kama insulin itakuwa chini ya kโฆ
Open printable article โ๐Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena
JEE NYAMA YA NGURUWE (KITI MOTO) NI SALAMA KWA BINADAMU???Hapa huwa kuna mvutano wa kidini sana juu ya nguruwe, Ila Leo napenda kuliweka sawa, kitaalamu kwa mujibu wa MEDICINE (Science)!!Nguruwe ni mnyama anaeliwa na 38% ya watu wote duniani Na walaji wake ni โฆ
Open printable article โ๐Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri
โโpiga chini kitambiโโ Mahitaji ๐นTikiti๐ 1 ๐นTangawizi kidogo ๐นLimao nusu ama apple cider vinegar โNjiaโ ๐ฒSafisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti๐,katakata weka kwenye Brenda , ๐ฅMenya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda, ๐Kamulia limaoโฆ
Open printable article โ๐Chanzo na Matibabu ya Tatizo la Mtindio wa Ubongo (Kupooza ubongo)
Tatizo la Mtindio wa Ubongo au Kupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya moja kwa moja ya viungo vya mwili inayotokana na sehemu ya ubongo (seli) inayotawala viungo hivyo kufa katika kipindi cha mwanzo cha maisha (Utototni).Mtindioโฆ
Open printable article โ๐Faida za kula Tende kiafya
Zifutazo ni faida zitokanazo na ulaji wa tende; 1. Tende huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora. 2. Tendehuzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madinโฆ
Open printable article โ๐Madhara ya Kuvaa viatu virefu wakati wa Ujauzito
Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha anakua na afya nzuri katika kipindi chote cha ujauzito na ili kuhakikisha kwamba atajifungua mtoto mwenye afyโฆ
Open printable article โ๐Mambo ya kuzingatia kuhusu ugonjwa wa Kaswende
Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokana na umbo lake la mzunguko. Viumbe hawa hujipenyeza kwenye ngozi laini inayotanda midomo au sehemu nyeti. Yafuatayo ni mambo Muhimu ambayo unapaswa kuyafahamu kโฆ
Open printable article โ๐Jinsi ya kuongeza kiasi cha utokaji wa maziwa kwa kina mama wanaonyonyesha na kwa afya ya mtoto
Maziwa ni chakula kikuu cha mtoto punde anapozaliwa. Mama anahitaji kuwa na Maziwa ya kutosha ili mtoto aweze kuwa na afya. Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea wakina mama wengi kushindwa kuzalisha maziwa mengi kwa ajili ya kuwanyonyesha watoto zao. Hata hivyโฆ
Open printable article โ๐Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua
Mwili wa binadamu unafanya mambomengi ya kibaiolojia ambayo maranyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyoinatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yoteyaโฆ
Open printable article โ๐Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya
Viambaupishi Mchele (Basmati) 3 vikombe Nyama ya ngoโmbe 1 kg Pilipili boga 1 kubwa Nyanya 2 kubwa Vitunguu maji 2 vikubwa Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu Tangawizi 1 kijiko cha chai Ndimu 1 Mafuta ya kupikia ยฝ kikombe Mdalasini ยฝ kijiโฆ
Open printable article โ