☘☘piga chini kitambi☘☘

Mahitaji

🌹Tikiti🍉 1 🌹Tangawizi kidogo 🌹Limao nusu ama apple cider vinegar ☘Njia☘ 🌲Safisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti🍉,katakata weka kwenye Brenda , 🔥Menya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda, 🍍Kamulia limao kwenye matunda yako saga,baada ya hapo itakua tayar.Mimina kwenye grasi yako🍸,ukiweza kunywa kabla hujala kitu,asubuh na endelea kunywa siku nzima,juic hii ni nzuri,na huondoa sumu mwilin ,husaidia kupata choo,huyeyusha mafuta,hung'arisha ngoz