PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mambo ya kuzingatia kujikinga na chunusi | Jinsi ya kuzuia

Mambo mhimu ya kuzingatia1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku2. Kunywa maji mengi kila siku3. Ondoa mfadhaiko (stress)4. Weka homoni sawa kama hazipo sawa5. Kuwa msafi wa mwili wote kila mara6. Usiziguse chunusi au kuzitoboa na mikono yako au na c…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vitu vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume

Vifaa vya kieletronikiVifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivi ni pamoja na simu na Kom…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume

Kula lishe boraChakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano. Ongeza zaidi matunda, mboga za majani na mafuta yenye afya.Acha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo

MahitajiKupata takriban gilasi 6Mabungo - 3Maji - 6 au 7 GilasiSukari - kiasi upendachoChumvi - kidogo sanaNamna Ya Kutayarisha:Kata mabungo na toa nyama yake tia katika mashine ya kusagia.Tia maji, sukari na chumvi usage kidogo tu.Chuja kisha mimina katika ja…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vyakula vinavyowezesha ubongo ufanye kazi kwa ufanisi

Mafuta ya zeituniMafuta ya naziSamakiBinzariMayaiKoroshoMazoezi ya viungoBroccoliParachichiMvinyo mwekunduSpinachiLozi (Almonds)Mbegu za mabogaKitunguu swaumu

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali

Chunusi ni nini? Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha vipele vidogo vidogo vya mafuta kwenye ngozi na wakati mwingine hufanya ngozi kuwa na maumivu au kuhisi kuungua. Viupele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa maf…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu

Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda.Kama unapatwa na kushuka kwa shinikizo la damu mara kwa mara basi kunywa kikombe cha kahawa asub…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu

Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo1. Chukua zabibu kavu Loweka zabibu 30 mpaka 40 ndani ya kikombe cha maji kwa usiku mzima.2. Asubuhi kabla ya kula wala kunywa chochote kula zabibu moja baada ya nyingine na unywe pia…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Mrehani (basil) kutibu presha ya kushuka

Hii ni dawa nzuri ya kutibu shinikizo la chini la damu sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C, magnesiamu na potasiamu, vilevile dawa hii husaidia kuweka sawa akili na kuondoa msongo wa mawazo (stress).MatumiziChukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichiS…

Open printable article β†’
πŸ“„

Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu

Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana.Dalili za ugonjwa wa shinikizo la chini la damukizunguzungu,uchovu,udhaifu,kupumua kwa shida,kupungua kwa nuru ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumvi

Kunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chumvi hupandisha juu shinikizo la damu. Usizidishe dawa hii kwa sababu chumvi nyingi kuzidi ina madhara kiafya.Matumizi:Changanya nusu kijiko cha chai cha chumvi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu

Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;Loweka lozi 5 mpaka 6 kwenye kikombe cha maji kwa usiku mmojaAsubuhi menya hizo lozi na uzisageChukua hizo lozi ulizosaga na uweke ndani ya kikombe cha maziwaChemsha mchanganyiko h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka

Hatua za kufuata1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri3. Kunywa yote asubuhi tumbo likiwa tupu na jioni glasi nyingine kwa majuma kadhaa

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu

Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu.Lakini inaweza pia kutumika kutibu shinikizo la chini la damu hasa ikiwa hili shinikizo la chini la damu limesababishwa na upungufu wa maji mwilini (dehydration).Kutibu shinikizo la chini la damu u…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu

Hatua za kufuataChukua Kijiko kikubwa kikubwa cha tangawizi mbichi iliyoparuzwaChanganya na Kikombe kimoja cha maji ya motoChemsha katika moto kwa dakika 12 hiviKisha ipua na uchujeIkipoa kidogo kunywa yote,fanya hivi mara 2 kwa siku kila siku

Open printable article β†’