πUjumbe wa kumwambia mpenzi wako ni mrembo na kumsihi asikuache
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mtiusiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww nimrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwanina kupenda xana tabua hilo mpnz wangu
Open printable article βπSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
Open printable article βπMeseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.
Open printable article βπSMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
Open printable article βπSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana
teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzihaiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatanebadaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo sikuwakigombana wataachana.
Open printable article βπUjumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
Open printable article βπSMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo
Open printable article βπSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie
ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibikamoyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufausiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.
Open printable article βπMeseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana
wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaachamidomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendeleekupendana,wanafiki roho ziwaume!
Open printable article βπMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwadhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyonimwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushikadaima.
Open printable article βπMeseji ya kumuomba mpenzi wako akupende maishsni
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda weweni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama nimapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zotemaishani mwangu.
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibuyakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda
Open printable article βπUjumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniachakuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yakohifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.
Open printable article βπMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtumuhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha."NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
Open printable article βπMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa sababu na wewe haupo tayari kumuacha
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapataukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha
Open printable article β