Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniachakuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yakohifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.