wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaachamidomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendeleekupendana,wanafiki roho ziwaume!