Ujumbe mzuri kwa umpendaye
kiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yakoya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
kiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yakoya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.
Open printable article βnikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ilanikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
Open printable article βmapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz nizawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lakolimezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lakohaliwezi futika.NAKUPENDA
Open printable article βyapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini.
Open printable article βNakupΓ©ndΓ€ mpΓ¨nzi wΓ¨wΓ¨ ΓΉnΓ₯umuhimu mkubwa kwenye maishayangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalohalitapona .nakupenda sana
Open printable article βupendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa hayanisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo
Open printable article βSiku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweliusio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyonimwangu nimeridhiaβ¦ .nakupenda daima mpenzi!
Open printable article βMapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.
Open printable article βNakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu
Open printable article βMpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioninasikia raha.Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng'ombeakala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandikakwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwanguhalitafutika kamwe.
Open printable article βImara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.
Open printable article βMmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiachk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl naunitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwaukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laβ¦
Open printable article βWanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penziletu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito.
Open printable article βMapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeanabila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi.
Open printable article βAnayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunianzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langukwako ni nuru daima halizimiki.
Open printable article β