upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa hayanisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo