mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz nizawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lakolimezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lakohaliwezi futika.NAKUPENDA