πNimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?
Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzimzuri sana na wa kiafya. Ni haki yako binafsi kuchukua uamuzihuu, kama vile watu wengine pia wanavyoruhusiwa kufanyamaamuzi kuhusu maisha yao wenyewe.Mara nyingine ni vigumu sana, lakini kama umeamua hutaβ¦
Open printable article βπKama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha. Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi kuacha. Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni pamoja na kundiβ¦
Open printable article βπNinawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?
Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaazako kuwa na tabia ya kuvuta sigara na kunywa sana pombe.Jaribu kuwa naye karibu na mshughulishe asipate muda wakuvuta na kunywa pombe. Kuwa naye kwa muda mrefu, fanyanaye kazi na mtambulishe kwa rafikβ¦
Open printable article βπNini maana ya neno Albino?
Neno Albino linamaanisha mtu mweupe, linatokana na neno la lugha ya Kilatini - albus-linamaanisha βeupeβ. Kuanzia karne ya 17 neno Albino limekuwa likitumika katika kueleza hali ya kundi la viumbe hai (watu, wanyama na hata mimea) ambao wana upungufu au ukosefβ¦
Open printable article βπNini maana ya Ualbino?
Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na machoya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zaowa familia moja au watu wa jamii yakeambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwanyeupe katika familia za watu weusi, iβ¦
Open printable article βπUalbino husababishwa na nini?
Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii huitwa βmelaniniβ. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika vinasaba vyetu. Kaβ¦
Open printable article βπUalbino unarithiwa vipi?
Watoto wengi wanaozaliwa na ualbino, wazazi wao wana rangiya ngozi, nywele na macho inayafanana na watu wa kabila /asiliyao. Mwili wa kila mwanadamu una seti mbili za vinasaba (mojahutoka kwa mama na moja hutoka kwa baba). Mtu anawezakuwa na rangi ya asili ya β¦
Open printable article βπJe, watu wanaoishi na ualbino wanafanana wote?
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana nakiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa nawengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegunduaaina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino
Open printable article βπJe, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?
Suala hili litatagemea na kila mtu anavyopendelea. Baadhi yawatu hupendelea kuacha nywele zao katika hali asilia kamawalivyozaliwa, wengine wanapendelea kuzigeuza rangi kuwanyeupe au nyeusi na wengine wanapendelea kuvaa nywele bandiazenye rangi nyeusi, kahawiaβ¦
Open printable article βπJe, ni wanadamu tu ndiyo wameathirika na ualbino?
Hapana. Ualbino ni haliinayoweza kutokea kwawanadamu na wanyama wakundi la mamalia. Temboweupe wa India hujulikanasana na walithaminiwasana katika mahakama yaMfalme au chui, twiga nasimba weupe ambao sasawanafurahiwa sana kwenyebustani za wanyama nambuga za waβ¦
Open printable article βπJe, Tanzania kuna Albino wangapi?
Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakunaaliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana na tafiti katika nchinyingine kama Nigeria na Afrika Kusini kuwa mtu 1 kati ya4,000- 5,000 ni Albino hapa Tanzania. Namba hii ni kubwa maranne au mara tano ukilinganishaβ¦
Open printable article βπNini matatizo ya macho ya Albino?
Mboni katika macho ya Albino haina pigimenti ya rangi. Kwahiyo, ni rahisi macho yao kuathiriwa na mwanga. Kwani mbonindiyo inayolinda jicho la ndani lisipatwe na mwanga mkali.Vilevile kama mboni inavyolinda jicho dhidi ya mionzi ya jua,inakuwa vigumu kuona kwaβ¦
Open printable article βπInakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?
Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza naambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii inaitwa βNystagmusβ.Albino hawezi kudhibiti hali hii. Wakati jicho moja linalengamahali lingine huwa linacheza na hii inafanya kuona sawasawakuwa kugumu.
Open printable article βπNini kifanyike ili kurekebisha matatizo ya macho ya Albino?
Kuishi kwa kushindwa kuona sawasawa ni changamoto yamsingi waliyonayo Albino, inaathiri elimu yao (hususan katikausomaji), katika kujumuika (ikiwemo kushiriki katika michezona kukubalika na rika lao) na katika uwezo wa kutembea katikamazingira magumu. Matatizoβ¦
Open printable article βπNini matatizo ya watoto Albino shuleni?
Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingihawafanyi vizuri shuleni, na huchukuliwa kuwa ni wajinga kwasababu hawawezi kusoma vizuri ubaoni. Mara nyingi watotoAlbino hujikuta wameaachwa katika shughuli za nje, yamadarasa zinazojumuisha wenzaoβ¦
Open printable article β