Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa na
wengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegundua
aina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino