PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Je, sigara ni sumu kwa binadamu?

Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu, kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine ni kuumwa na kichwa, …

Open printable article β†’
πŸ“„

Magonjwa yatokanayo na sigara

Kuna matatizo na magonjwa mengi na ya aina mbalimbaliunayoweza kuyapata kutokana na utuvaji wa sigara. Kiungorahisi kuathirika ni mapafu. Baada ya kuvuta huo moshi, kabonina tindikali iliyomo kwenye tumbaku huishia kwenye mapafu.Malimbikizo haya ya kaboni na t…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni kwa nini ni vigumu kuacha kuvuta sigara?

Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayounayazoea na kufikiri huwezi kufanya lolote bila ya kutumia.Kwa upande wa sigara unaweza kuzoea hali yake ya kukutuliza nahali ya kutamani kila unapojisikia. Kwa wengi hamu hiyo hutokeabaada ya kazi nzito, …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, pombe inaweza kusababisha uitegemee?

Ndiyo, Kama nikotini, pombe huweza kukufanya mwenye busaraiwapo utakunywa, na ujiwekee kiwango maalumu cha kuinywa.Mtu aliyetawaliwa na pombe anapotaka kuacha kunywa atakuwana dalili za upweke kama kutetemeka na wasiwasi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni kweli ukinywa maziwa baada ya kuvuta sigara huwezi kudhurika?

Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoauharibifu uliosababishwa na nikotini mdomoni na kwenyemoyo, mapafu au kwenye ubongo. Kunywa maziwa baada yakuvuta sigara kunaweza kusaidia kupunguza mchomo tumboniuliosababishwa na tindikaili.

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara na kunywa pombe?

Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywapombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwaya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyokatika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hiihuwatokea hasa watu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini wanaume wengi hupenda kufanya mapenzi baada ya kulewa; na wasichana wengi hupatwa na vishawishi?

Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, nakushindwa kujizuia na vishawishi vya kufanya mapenzi. Pombehuwafanya watu kustarehe, kuwa wazembe na kushindwa kutoamaamuzi ya busara kutokana na kutojali. Ndiyo maana kunauhusiano sana kati ya maambukizo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wanakuwa wagomvi na wakali wanapokuwa wamelewa?

Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.Kutokana na ushawishi wa pombe watu hupoteza tabia zaoza kawaida na kuona vigumu kuhimili mihemko na kushindwakufanya maamumzi katika hali hiyo. Matokeo yake, mlevihuyachukulia tofauti mazingira na maneno.…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kwa nini akina mama wajawazito hawatakiwi kunywa pombe?

Wanawake wajawazito ambao hunywa pombe au kuvuta sigarawanahatarisha afya na maisha ya mtoto aliye tumboni. Mtoto aliyetumboni hurutubishwa kupitia damu ya mama. Kama mama atavutasigara au kunywa pombe, sumu illiyopo katika sigara au pombeinapoingia kwenye dam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, pombe ni moja ya sababu za kuenea kwa Virusi vya UKIMWI na VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana?

Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwaVVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana. Tabiaya ulevi ya kupindukia huwaweka watu katika hatari kubwa yakupata na kueneza magonjwa haya.Pombe husababisha watu kusahau hatari ya kuwa na wapenziw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, Tanzania kuna wataalamu wanaosaidia watu wenye matatizo ya ulevi wa kupindukia?

Ndiyo. Hapa Tanzania kuna kitengo maalumu kinachojishughulishana masuala ya akili. Wataalamu mbalimbali hufanya kazi pamojakama vile matibabu ya magonjwa ya akili na wanasaikolojia.Wanaustawi wa jamii ambao wana mbinu za kuelewa kiwangocha unywaji pombe katika…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, sigara ni mojawapo ya dawa za kulevya?

Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotini iliyomo kwenye sigarahusababisha mtu kuwa mtu tegemezi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?

Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.Tumbaku imekubalika na jamii kwa muda mrefu, na ni katikamiaka kama hamsini iliyopita ndipo madhara yatakanayo nanikotini iliyomo kwenye tumbaku yalipoanza kukubalika. Hatahivyo, hadi sasa tumbaku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini pombe na sigara bado zinatangazwa wakati zina madhara?

Serikali inatakiwa iamue kuwepo kwa matangazo ya biasharaya pombe na sigara au la? Serikali ina wakati mgumu katikakuamua kati ya kulinda afya za watu na shinikizo litokalokwa wakulima pamoja na makampuni yanayotengeneza pombena sigara. Wenye viwanda na wauzaj…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?

Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwangoambavyo ubora wake umethibitishwa kihalali. Hii inamaanishakwamba wataalamu katika kiwanda, huzipima bidhaa hizomara kwa mara huangalia usafi wake, kiwango cha kilevi, namchanganyiko wa malighafi zinazotumika k…

Open printable article β†’