Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoa
uharibifu uliosababishwa na nikotini mdomoni na kwenye
moyo, mapafu au kwenye ubongo. Kunywa maziwa baada ya
kuvuta sigara kunaweza kusaidia kupunguza mchomo tumboni
uliosababishwa na tindikaili.