PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisiβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki 🏦

At the bank..Teller: Hii pesa ni fakeMkaka: Shida iko wapi..pesa ni yangu..account pia ni yangu..weka tu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada

Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo moja na robo.Mdada akamuulizamuuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzajiakamchukua yule kuku nakujifanya kamrudisha kw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?

Google alisema : mimi nina kila kituFacebook ikasema : mimi najua watu woteWhatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyiInternet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu !umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyesheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga

Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto anani…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

EtUmexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndaniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.πŸ˜‰

Open printable article β†’
πŸ“„

Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko

Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hii……Samahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea.Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nab…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake

Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa.Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako.Mume AkasemaπŸ‘‰πŸ‘‰ Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja MautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya kumdanganya mchungaji wangu

Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa ubahili umezidi kwa hiki anachomwambia huyu dada

Kama ni ubahili hapa umezidimdada Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyokaJAmaa embu mpe huyo nyoka cm niongee nae.. maisha yanakaba..πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

BABA MWEUSIMAMA MWEUSIna ww walikuzaa mweusi lakini umefikisha miaka 20 umeanza kua mweupe…..HAPO NDO WAZAZI WANAJIULIZA hv mbegu ilkua ya kinyonga auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Open printable article β†’
πŸ“„

Hili nalo neno kwa wavulana

Hili nalo nenoDemu wako anakuja kwako kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za kumuacha mke kama umemchoka

Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi_1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua… It's Over!!!_2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over!_3. Nimekupigia umep…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kiingereza kinashida kweli, Angalia alichokisema huyu mwalimu

Kiingereza shidaaaa……!Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizurTcha: these beans are not well connected,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’