PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Huku ndiko kuumbuka bila chuki

Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe …

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadil…

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu

Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaaβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

SIFA MBAYA…Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.JAMAA;wife Mara hii umenimiss jamanWIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Maisha ya Pwani ni Shidaaaaah

πŸ˜†πŸ˜† πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula🍽🍨 kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa ukisusa wenzio wala ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa ukitoka 🚢🚢mwenzio anaingiaπŸ’ƒπŸ’ƒjamaa akagoma kwenda kazini 😬😬 mke akabadili kanga na kuvaa ilo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu

Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya

Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako."Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2Akasema sasa si ungesema kama…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia

……… Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha… Ndugu yangu….. Msamehe…. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa…. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao…… Ondoa paa lote la nyumba yao ha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dunia ina mambo, soma hii

Dunia ina mamboKuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:MCHUNGAJI: My name is Pastor LivingstoneMKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu polisi kitu alichonijibu

Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo an…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu Jamaa alichomfanyia mke wake jana

Jana niligombana na mke wng, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka naehua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?

Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???😜😜😜😜Mi naona MAMBA ndo kiboko!😳Ujinga mbele kwa mbeleπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….."Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni diponeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapana ChezeaBafua

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea Leo mahakamani

Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Order…Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu …Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..i think wananiandalia chapatiπŸ˜€πŸ˜πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚

Open printable article β†’