Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Orderβ¦Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu β¦Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..i think wananiandalia chapatiπππππππππ