PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake….Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake.Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake….Akanyata taratibua akafun…

Open printable article β†’
πŸ“„

Simu ilivyozua utata

Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokew…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jamaa mpenda michepuko kapatikana

…Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia lakin kabla hajasema shida yake anaamua kukata simu. Unashikwa na hamu ya kujua ni nani. Tama…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii kazi kweli kweli, Ungekua wewe ungefanyaje?

UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu bibi kazidi sasa

Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka, Kibaka "Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua", Bibi kajibu "Bado Mtama"bibi ujing…

Open printable article β†’
πŸ“„

Omba omba sio barabarani tuu

Boy:- baby ivi nikifa utakuja msibani? Girl:-ntakuja ukinitumia nauli. Hapo ndo unagundua kuwa sio kila omba omba yuko barabarani. πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€”

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh, huyu mama alichokifanya

Mke: Naelekea london, nikuletee zawadi gani?Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?Mke: we omba Alafu utaona.Mume: Niletee msichana wa kizungu.Mke: (mke akaendaLondon na kurudi)Mume: zawadi yangu iko wapi?Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ™ˆPia Wamama hawap…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mcheki Chizi na daktari

Tafakari na ujumbe huuuu!!!…DAKTARI :- Unajisikiaje?CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibetπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Baadhi ya misemo mikali ya leo

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.5. Hata njiwa nae an…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki tulichokifanya jana

JANA APA HOMEJENERETA LILIWASHWAACHA TUHANGAIKE KULIKUNAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu

Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa

JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng'ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng'ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu mtoto anachosema

sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia GRANDMOTHER CRY😠😠😠 sijui nikabadilishane na kijiko cha chumviπŸ€”πŸ€”πŸ€”

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mama mkwe kazidi sasa

Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki nilichomfanyia huyu dereva tax

Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea…Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya….nikamwambia_ ..KATA KUSHOTO πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’