PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani

MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?. MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali.MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini… Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mata…

Open printable article β†’
πŸ“„

Soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?

Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba, mwanao anakupigia simu baba/mama mimi mzima sijafa mp…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mkwe kazua mpya, Hii dunia ina mambo sana

Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia wanachokifanya Zuzu na msichana chumbani kwenye giza

Zuzu: Mambo Anna!Anna: Poa!Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyeshe…Anna: Kitu gan?Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)Anna: Haya nionyeshe…Zuzu: Funga mlango na madirisha kwanza (akafunga)Anna: Haya nionyeshe sasa!..Zuzu: Zima taa kwanza (akazima)Anna: Mhm…nionye…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mtoto kaongea point kweli, angalia anachomwambia baba yake

Mtoto alimwuuliza baba yake,Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha?Baba: siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana.Mtoto: je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini?Baba: hai…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?

MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yakoMKE akamnong'oneza mume wake na kumwambia mbona mimi nayafahamu yote, ndio maana nimekupa sumu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu mtoto anachomjibu baba yake baada ya kutoka kwenye mtihani

BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.BABA: kwanini unasema hivyo?.DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.BABA: kwel kazi ipoJE UNGEKUWA WEWE HU…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-''YEAH NI TEMBA hapa auYEAH NI CHEGE hapa…!!!Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA…!!!"Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge weeJE, WEWE UNGEJ…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa

Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema "asiyempenda YESU atoke nje" wakatoka wote ispokuwa Mchungaji na Wazee wawili.Jambazi likamwambia Mchungaji "unaweza kuendelea na ibada, nilikuwa nakuondolea wanafiki", Mchungaji aka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo

Soma vichekesho hivi;Mwizi wa atmJamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ameripoti polisi akajibu "sijaripoti bado, mwizi mwenyewe hamfikii matumizi kama mke wangu.Cheka kidogoNjia rahisi kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) vaa viatu vinavyokub…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu

1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi?2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake?3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking?4. Kama neno…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichowakuta boss, mke wake na mfanyakazi wao

Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika.Ilikua ni bahati tu alimvizia nak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya mzungu na mbongo kukaa siti moja, bongo wasanii wengi

Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia? Mbo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake,

Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako na…….. Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake. Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku jamaa anasikia "Aisee…

Open printable article β†’
πŸ“„

Aina mojawapo ya watoto ambao ni hasara kuwa nao

Alipelekwa Hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na cm. Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- "Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mar…

Open printable article β†’