ACKYSHINE ARTICLE

Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… December 25, 2020πŸ’¬ 239 comments

Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa…!!!

Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA…!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEβ™₯