πMaswali na Majibu kuhusu Biblia
Neno Bwana lina maana gani katika Biblia? Neno Bwana Katika Biblia linamaanisha "Mungu Mtawala" Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia kβ¦
Open printable article βπMaswali yanayoulizwa sana Kumhusu Bikira Maria
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria? Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu Kwa nini watu wengi wanaomba kwa Bikira Maria? Watu wengi wanaomba kupitia Bikira Maria kwa sababu wanashuhudia sala zao kujibiwa kirahisi zaidβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu kuhusu Sakramenti ya Daraja
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani? Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake kwa ajili ya Kanisa na jamii. Daraja inatia uwezo wa Kristo kwa ustawi wa Kβ¦
Open printable article βπMambo ya Muhimu kujua kuhusu dhambi
Dhambi ya asili ndio nini? Dhambi ya asili ambayo binadamu wote wanazaliwa nayo, ni hali ya kukosa utakatifu na hali ya asili ya urafiki na Mungu Adhabu gani walipewa Adamu na Eva? Adamu na Eva kwa ukubwa wa dhambi yao ya kiburi na ya uasi: 1. Walipoteza neemaβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu dhamira
Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu Katika hukumu zake dhamira ifuate nini? Katika hukumu zake dhamira ifuate daima Injili, Amri za Mungu na β¦
Open printable article βπMambo ya Msingi unayopaswa kufahamu kuhusu Ekaristi
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi? Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ekaristi, iliyo kuu kuliko sakramenti zote kwa sababu ndiyo Yesu mzima, Mungu-mtu, katika maumbo ya mkate na divai. Sisi ambao tulishiriki kifumbo kifo na β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Mafumbo ndani ya Kanisa Katoliki
Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje? Laitwa fumbo la Utatu Mtakatifu. (Lk, 3:21-22) Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho? Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15) Nini maana ya neno "Fumbo"? Fumbo ni ukweli ambao hatβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Hukumu ya Mwisho
Ufufuko wa wafu maana yake nini?Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?Baada ya kifo roho yβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Kifo
Motoni ni nini? Motoni ni makao mabaya kwa Shetani walaaniwa wakaapo mbali na Mungu wakiteswa milele. (Mt 25:41, Mik 9:42-43, 1Yoh 14:15) Uzima wa milele ni nini? Uzima wa milele ni maisha ya kukaa mbinguni na Mungu yasiyokua na mwisho. Mambo makuu manne ya mwβ¦
Open printable article βπMambo ya muhimu kujua kuhusu Sakramenti ya Kipaimara
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani? Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku ya Pentekoste, yaani siku ya hamsini toka Pasaka. (Mdo 2:1-4) Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi? Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni kipaimara, kinachoendβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kujua kuhusu Sakramenti ya Kitubio
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwiβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Kuabudu kwa Wakatoliki
Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani? Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu? Hatuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu tunawaheshimu tu. Je sanamu zimekatazwa? Sanamu hazijakatazwa, ila tunaziheshimu kwaβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Liturujia
Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi? Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili 1. Litrujia ya Neno2. Liturujia ya Ekaristi Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi? Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu tatu 1. Matayarisho ya vipaji2. Sala ya Ekaristi3. Ibada ya Komunyβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Malaika
Kwanza Mungu aliumba nini? Kwanza Mungu aliumba Malaika (Kol 1:16) Malaika ni viumbe gani? Malaika ni viumbe vya Mungu vilivyo roho tu wenye akili na utashi. (Zab 91:11, Ebr 1:7, Ufu 12:7-9) Mungu aliumba Malaika katika hali gani? Mungu aliumba Malaika katika β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Mapokeo ndani ya Kanisa Katoliki
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa. βNawasifu, kwa sababu mmenikumbuka katika mamboβ¦
Open printable article β